Msanii wa Bongo Fleva almaarufu kwa jina la Ommy Dimpoz anayetamba na ngoma kali hapa Tz kama Nai Nai,Baadaye na ngoma zingine alizo shirikishwa na wasanii mbalimbali na ndipo alipoweza kufahamika kwa mashabiki kwa kupitia ngoma hizi mbili sasa amekuja na Nyimbo yake mpya ya me & u
No comments:
Post a Comment